Monday, 10 October 2016
Wednesday, 21 September 2016
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA IKIFUNGUA KIKAO CHA TAARIFA ZA C.A.G
Mh. Mathew kikoti Mwanyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Momba akifungua kikao maalamu cha kamati ya fedha kujadili tarifa za za wakaguzi wa nje (CAG).akiwasisitiza wajumbe kuwa makini katika kikao
Waheshimiwa Madiwani na watalamu wakimsikiza Mwenyekiti wa Halmashauri katika ufunguzi
wa kikao hicho.
Tuesday, 20 September 2016
MKUU WA WILAYA YA MOMBA AKIONGEA NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA WILAYA YA MOMBA
Mkuu wa wilaya ya Momba Mh Juma S. Irando akifanya kikao kazi na wakuu wa idara na vitengo wa Halmashauri ya wilaya ya Momba akiwasisitiza kufanya kazi kwa bidii na kuwasisitiza watumishi kutojishughulisha na kazi za kisiasa.Pia mkuu wa wilaya aliisisitiza idara ya Uvuvi na maliasili kuzuia swala la uchomaji wa Mkaa.
Saturday, 17 September 2016
MKUU WA WILAYA YA MOMBA AKITEMBELEA ZAHANATI YA KATA YA MIYUNGA
Mkuu wa wilaya ya Momba Mh Juma S. Irando akiambata na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Momba Mr Adriani Jungu wakifanya dhihara katika zahanati ya kata ya Miyunga iliyoko wilaya ya Momba .
Mazumuni ya Dhihara hiyo ilikuwa ni kuongea na watumishi za Zahanati hiyo ili kuweza kutahimini changamoto wanazokutananazo katika mazingira ya kazi.