Wednesday, 21 September 2016

MKUU WA WILAYA YA MOMBA AKIKABIZIWA MWENGE WA UHURU

Mkuu wa wilaya ya Songwe akimkabizi Mkuu wa wilaya ya Momba Mh  Juma S Irando Mwenge wa Uhuru.Makabiziano hayo yalifanyika katika mpaka wa Chunya katika kata ya Mkomba.

0 comments:

Post a Comment