Wednesday 21 September 2016

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA IKIFUNGUA KIKAO CHA TAARIFA ZA C.A.G



Mh. Mathew kikoti Mwanyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Momba akifungua kikao maalamu cha kamati ya fedha kujadili tarifa za  za wakaguzi wa nje (CAG).akiwasisitiza wajumbe kuwa makini katika kikao
    Waheshimiwa Madiwani na watalamu wakimsikiza Mwenyekiti wa Halmashauri katika ufunguzi
    wa kikao hicho.

Tuesday 20 September 2016

MKUU WA WILAYA YA MOMBA AKIONGEA NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA WILAYA YA MOMBA























Mkuu wa wilaya ya Momba Mh Juma S. Irando akifanya kikao kazi na wakuu wa idara na vitengo wa Halmashauri ya wilaya ya Momba akiwasisitiza kufanya kazi kwa bidii na kuwasisitiza watumishi kutojishughulisha na kazi za kisiasa.Pia mkuu wa wilaya aliisisitiza idara ya Uvuvi na maliasili kuzuia swala la uchomaji wa Mkaa.

Saturday 17 September 2016

MKUU WA WILAYA YA MOMBA AKITEMBELEA ZAHANATI YA KATA YA MIYUNGA


Mkuu wa wilaya ya Momba Mh Juma S. Irando akiambata na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Momba  Mr Adriani Jungu wakifanya dhihara  katika zahanati ya kata ya Miyunga iliyoko wilaya ya Momba .
Mazumuni ya Dhihara hiyo ilikuwa ni kuongea na watumishi za  Zahanati hiyo ili kuweza kutahimini changamoto wanazokutananazo katika mazingira ya kazi.